Saturday

MISS TANZANIA HUYU HAKOMI KUPIGA PICHA ZA UCHI

CHUMA BLOG
 Miss Tanzania 2011, Husna Mauldi (kushoto), akiwa kwenye vazi linalomuonyesha  wazi sehemu kubwa ya mwili wake, Wasiwasi wangu ni kwamba hivi karibuni mrembo huyu alifunga pingu za maisha tena  kwa  shangwe na mbwembwe za kumwaga, swali la kujiuliza pamoja na  kulipotiwa mara kwa mara akiwa amepiga picha za utupu inamaana hajakoma tu?
Husna (wa kwanza kushoto), akiwa kwenye pozi na baadhi ya marafiki zake ndani ya moja ya Hoteli kubwa jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 

COPYRIGHT © CHUMA BLOG DESIGN BY CHUMA EMPIRE+255 712 222244